Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 DVD ya "Kampeni ya Kongamano la Kiulimwengu: Beijing +25; Je, Barakoa ya Usawa wa Kijinsia Imeanguka?"

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir inafuraha kuwasilisha kwa wafuasi na wanaozuru kurasa za Afisi Kuu hii ya Habari DVD mpya kwa anwani:

"Kampeni ya Kongamano la Kiulimwengu: Beijing +25; Je, Barakoa ya Usawa wa Kijinsia Imeanguka?"

Imeandaliwa na Idara ya Machapisho na Nyaraka katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir.

Ili Kupakua DVD Hii

Bonyeza Hapa

Ili Kuzuru Ukurasa wa Kampeni na Kongamano

Bonyeza Hapa

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumapili, 06 Septemba 2020 14:16
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.