Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Afisi Kuu ya Habari: Kitengo cha Wanawake "Ualishi wa Kuhudhuria Kongamano la Wanawake nchini Denmark"

Ualishi jumla kutoka kwa dada mheshimiwa Dkt Nasreen Nawaz / Mkurugenzi wa Kitengo cha Wanawake katika Afisi ya Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kuhudhuria kongamano la Wanawake nchini Denmark, ambalo litafanyika mnamo siku ya Jumapili 19/09/2021 M chini ya anwani:

"Mwanamke katika Nuru ya Uislamu"

Jumatano, 08 Safar 1443 H sawia na 15 Septemba 2021 M

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.