Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Denmark: Kisimamo Mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa kwa Anwani "Mtume Wetu Ndio Kiigizo Chetu"

Hizb ut-Tahrir / Denmark iliandaa kisimamo mbele ya Ubalozi Mdogo wa Ufaransa jijini Copenhagen kwa anwani "Mtume Wetu Ndio Kiigizo Chetu" kukemea matusi kwa Mtume wetu mtukufu (saw), na kwamba wakati Ufaransa ikiendelea na msimamo wake dhidi ya Uislamu na uchochezi wake dhidi ya Waislamu kote ulimwenguni, Mwenyezi Mungu awaangamizilie mbali! Vipi wanapotoka na haki.

Ijumaa, 13 Rabi' ul-Awwal 1442 H sawia na 30 Oktoba 2020 M

- Kalima ya Dada Iman Awadh -

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoAlhamisi, 19 Novemba 2020 23:00
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.