Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahir / Indonesia:

Amali Pana za Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuiokomboa Al-Aqsa!

Mbele ya mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) yaliyofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha vifo na majeraha kwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 35 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali pana katika miji mikuu 37 nchini ambapo maelfu ya watetezi na wafuasi walishiriki wakitaka majeshi ya Waislamu kutaharaki ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia Mto wake hadi Bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wauwaji wahalifu.

Jumamosi, 20 Rabi' al-Akhir 1445 H sawia na 04 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi zuru mitandao ya Hizb ut Tahrir / Indonesia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa wa Instagram wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Hizb ut Tahrir / Indonesia

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.