Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo katika Kambi ya Mji wa Qah “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika kambi ya Al-’ahd bil Allah katika mji wa Qah, viungani mwa Idlib chini ya anwani: “HAPANA kwa Uhalifu wa Suluhisho la Kisiasa la Kiamerika, NDIO Kuangushwa kwa Serikali na Kusimamishwa Khilafah”

Ijumaa tarehe 05, Rabi’ al-Akhir 1442 H  sawia na 20 Novemba 2020 M.

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoJumanne, 24 Novemba 2020 18:18
Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.