Jumanne, 07 Shawwal 1445 | 2024/04/16
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kampeni ya Kitengo cha Wanawake ya Ramadhan “Ramadhan ni Mwezi wa Ushindi”

Karibu Ramadhan, mwezi wa ushindi, mwezi wa bishara njema, mwezi wa kujadidishwa imani na kutakasa nyoyo, mwezi wa utiifu na kushindana katika mambo mema. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu aliyetufikisha Ramadhan, mwezi huu mtukufu ambao tunahisi ndani yake maana ya rehema na umoja baina ya Waislamu. Karibu, Ramadhan.

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Amali za Kiulimwengu za Hizb ut Tahrir katika Kumbukumbu ya Kuvunjwa Khilafah 1445 H – 2024 M

Katika mwezi Mtukufu wa Rajab wa mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi tena kumbukumbu uchungu ya 103 ya kuvunjwa Dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo ilianzishwa na Bwana wa Mitume wote Muhammad, rehma na amani za Mwenyezi Mungu zimshukie, na maswahaba zake watukufu, Mwenyezi Mungu awe radhi nao, na kuondolewa kwa Mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu katika mwaka wa 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu