Hizb ut Tahrir / Malaysia Yazindua Kampeni "Uislamu Kaffah Chini ya Khilafah"
- Imepeperushwa katika Malaysia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Idara ya Masuala ya Dini ya Kiislamu ya Negeri Sembilan (JHEAINS) ilimkamata mke na wanafamilia wa Shab wa Hizb ut Tahrir / Malaysia (HTM) huko Seremban, mnamo saa tano usiku Jumanne iliyopita.
Kwa karibu wiki moja, Hizb ut Tahrir imekuwa ikishambuliwa kila wakati na kila aina ya kashfa mbaya na vyombo vya habari kufuatia mikutano ya waandishi wa habari iliyofanywa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maswala ya Dini ya Kiislamu
Kwa mara ya kwanza baada ya kuwa sehemu ya vyama tawala, tovuti rasmi ya Chama cha Kiislamu cha Malaysia (PAS), harakahdaily.net imechapisha makala ya mwandishi kwa jina la Alang Ibn Shukrimun, ambaye ameisingizia Hizb ut Tahrir.
Hizb ut Tahrir / Malaysia ilifanya maandamano ya amani mbele ya Ubalozi wa India, Kuala Lumpur mnamo 06/03/2020, kupinga mauaji ya Waislamu nchini India, haswa mjini New Delhi.
Bila kujihisi na hatia, bila ya aibu na bila kumuogopa Mwenyezi Mungu (swt), Kitengo cha Dini ya Kiislamu cha Selangor (JAIS) kimewashtaki Dada watatu wa Hizb ut Tahrir, pamoja na wengine wawili, katika Mahakama ya Chini ya Shariah ya Shah Alam mnamo 29/01/2020 kwa kosa la ‘kuwatukana viongozi wa kidini’.
Mamlaka kadhaa za kidini nchini humu zinaonekana kupoteza muelekeo na taaluma katika kutekeleza uaminifu uliowekwa mabegani mwao. Lengo lao, linaonekana sasa ni kuzichochea harakati za Kiislamu ambazo hawakubaliani nazo, kutafuta kosa lolote kwa harakati hiyo, na ikiwa hawakuweza kupata kosa lolote, wanapanga njama ya kuichafua harakati hiyo.