Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Enyi Watu wa Uturuki... Wawajibisheni Wabaguzi Wote wa Rangi!

Kalima kutoka kwa Ustadh Mahmut Kar, Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Uturuki, akiwawajibisha wahalifu waliowasha moto wa ufisadi katika mji wa Uturuki wa Kayseri baina ya wahamiaji wa Syria na wakaazi wa Uturuki ambao umeenea hadi miji mingi ya Uturuki.

Jumatatu, 02 Muharram 1446 H sawia na 08 Julai 2024 M

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.