Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Al-Waqiyah TV

Abdullah ibn Abbas (r.a) – rafiki wa kipekee!

Utiifu na umakinifu wa Abdullah ibn Abbas (r.a) kwa Mtume Muhammad (s.a.w) ilisababisha fungamano imara kati ya hawa wawili. Ukaribu kama huu unapaswa kutufanya kutafakari juu ya maana ya urafiki wa kweli katika Uislamu – Je, umejengwa juu maslahi ya muda mfupi na mapato ya kimada, au udugu, ambao kwa pamoja hutafuta Pepo na radhi za Mwenyezi Mungu (swt)?

Jumatatu, 20 Jumada II 1440 H sawia na 25/02/2019 M

 

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.