Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Deir Hassan “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Deir Hassan “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Deir Hassan “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Mkusanyiko wa watu na wakaazi wa viungani mwa Aleppo Kaskazini wanalaani uadui wa Mayahudi dhidi ya Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na kuyataka majeshi kusonga ili kuukomboa kutokana na najisi ya Mayahudi.
Wakaazi wa mji wa Al-Bab viungani mwa Aleppo waliandaa kisimamo cha kuunusuru Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, wakiomba nusra kutoka kwa majeshi ili kuukomboa kutokana na najisi ya Mayahudi.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Sahara viungani mwa Aleppo kwa anwani “Al-Aqsa Yaomba Nusra kwa Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Souran viungani mwa Aleppo yakinyanyua mwito “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa kisimamo katika mji wa Al-Atarib Al-Abiya viungani mwa Aleppo kwa anwani “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika mji wa Killi viungani mwa Idlib kwa anwani “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Atma “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Syria: Maandamano ya Kafr Takharim “Al-Aqsa Yalilia Majeshi”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria iliandaa, amali za maandamano na matembezi katika miji na vijiji kadhaa kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 12 ya Mapinduzi Yaliyobarikiwa ya Ash-Sham