[شَهْرُ رَمَضَانَ الَّذِي أُنْزِلَ فِيهِ الْقُرْآنُ هُدًى لِلنَّاسِ وَبَيِّنَاتٍ مِنَ الْهُدَى وَالْفُرْقَانِ] “Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni uwongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi.” [Surah Al-B
- Imepeperushwa katika Palestina
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwezi wa Furqan umekujieni. Unawajibisha kutofautisha baina ya haki na batili. Basi kuweni watiifu kwa Mwenyezi Mungu (swt) na Mtume wake (saw), na jiepushe na ukafiri, makafiri, unafiki na wanafiki. Hakuna hukmu inayostahili kutawala isipokuwa ya Mwenyezi Mungu (swt).