Mashahidi wa Akhera na Swali la Qadhaa na Qadar Kwa: Mutaz Qawasmi
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kifiqh
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kinapo zungumzia kuhusu vitendo vinavyo tukia ndani ya mzunguko unaomtawala mwanadamu katika upande usiokuwa wa kanuni za moja kwa moja za Ulimwengu, katika ukurasa wa 94 (nakala ya Kiarabu) kinaeleza, baada ya kutaja mifano, "na hivyo basi hatutalipwa ujira wa kuadhibiwa".