Kukabiliana na Uhamiaji usio wa kawaida nchini Tunisia na Hatua Madhubuti kwa Badali ya Msaada wa Ulaya!
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo tarehe 15/4/2023, mapigano yalizuka jijini Khartoum kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka. RT mtandaoni ilinukuu yafuatayo kutoka kwa AFP: "Mapigano yanaendelea kati ya jeshi na Vikosi vya Msaada wa Haraka huko Khartoum, wakati ambapo shirika moja la misaada lilionya juu ya mlipuko wa ukambi na utapiamlo miongoni mwa watoto katika kambi za waliohamishwa, na unyanyasaji wa kijinsia kwa wanawake.''
Mnamo tarehe 18 Juni, 2023, BBC iliripoti juu ya kuzama kwa mashua iliyokuwa imebeba wahamiaji zaidi ya 500 kutoka pwani ya Ugiriki. Picha za mashua hiyo iliyochukuliwa na walinzi wa pwani kabla ya kuzama zinaonyesha mamia ya wanaume wakiwa wamejazana kwenye sehemu ya juu. Mashua hiyo ilitengenezwa kubeba sehemu ndogo tu ya idadi hiyo ya watu.
Takriban wakaazi 15 wa Ende Regency, Nusa Tenggara Mashariki (NTT) - jimbo la visiwa mashariki mwa Indonesia - walikuwa wahasiriwa wa uhalifu wa usafirishaji haramu wa binadamu (ulioripotiwa mnamo tarehe 5 Juni 2023).
Gazeti la kila siku la Ufaransa la La Dépêche lilichapisha mnamo Ijumaa, Mei 19, 2023, habari iliyosema kwamba takriban shule mia moja huko Toulouse na vitongoji vyake zilipokea barua pepe kutoka kwa polisi wa Ufaransa wakiomba kiwango cha utoro wa wanafunzi mnamo Aprili 21, 2023, ambayo ilisadifu kuwa ni sikukuu ya Idd al-Fitr.
Takwimu zilizochapishwa na Wizara ya Afya huko Gaza mnamo Alhamisi alasiri zilionyesha kuwa wengi wa wahasiriwa wa hujuma inayoendelea ya Mayahudi kwenye Ukanda wa Gaza tangu alfajiri ya Jumanne ni watoto, wanawake na wazee. Jumla ya mashahidi waliokufa kutokana na uchokozi huu imefikia 25, huku idadi ya waliojeruhiwa ikifikia 76.
Mwishoni mwa Februari 2023, Waziri wa Masuala ya Wachache wa India Smriti Irani alipunguza kwa kiasi kikubwa bajeti ili kuunga mkono ujumuishwaji wa kijamii na kisiasa wa vikundi vilivyo na uwakilishi mdogo nchini India.
Katika ajali mbaya inayozidisha maafa mengi yanayoshuhudiwa na Ummah, boti iliyokuwa imebeba wahamiaji waliotoka Uturuki kuelekea Italia, wakiwa na matumaini ya kuishi maisha salama na yenye staha, ilizama.
Hivi majuzi, mfungwa wa Kipalestina, Shorouq Al-Badan, aliachiliwa huru kutoka Gereza la Damon baada ya kuwa katika kizuizi cha kiidara kilichochukua miezi 14. Alisema kuwa hajihisi kuwa uhuru, na anahisi uchungu na hofu kwa marafiki zake gerezani, ambao hakuweza hata kuwaambia kwaheri.
Mnamo Alhamisi, Wizara ya Afya ya Palestina ilitangaza vifo vya Wapalestina 9, akiwemo mwanamke mzee, na wengine kujeruhiwa na vikosi vya Kiyahudi, baada ya kuvamia mji wa Jenin na kambi yake.