Jumapili, 11 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mafunzo Kutoka Historia ya Balkan: Uislamu Huleta Amani na Usalama – Utaifa Huleta Mauwaji na Uharibifu

Licha ya udogo wake wa eneo, katika kipindi chote cha historia yake eneo la Balkan lilikuwa ni medani ya mivutano, vita vya kikatili, na uhamaji wa kimakundi. Huenda ikawa hakukua na eneo jengine duniani kama hili ambalo limekuwa ni la matukio ya kihistoria, sehemu ya kuibuka na kutoweka kwa mataifa mengi na ya aina tofauti, makabila, jamii na himaya

Soma zaidi...

Wanaadamu Hawawezi Tena Kuvumilia Mzigo Wa Urasilimali Simamisheni Uislamu kwa Ajili ya Faraja Yao

Kiulimwengu na kindani nchini Pakistan, ni wazi kuwa Urasilimali upo katika mgogoro mbaya sana. Hata kabla ya mripuko wa maradhi ya Korona (Covid 19), mdororo wa kiuchumi ulikuwa wazi. Kote ulimwenguni, huduma za dharura za afya ya ummah zilikuwa mbovu na kuchukuliwa kama ni sehemu ya kinga kwa mdororo huo.

Soma zaidi...

Mufti Samigullin Anajidhalilisha Mwenyewe

Mufti wa Tatarstan Kamil Samigullin ameeleza kuwa hakutoa kauli zozote dhidi ya marekebisho ya Katiba ya Urusi yaliyo jumuisha fahamu ya “watu wenye kuunda Serikali”, ila alionyesha tu shaka kuhusu maneno yake, Idara ya Usimamizi wa Masuala ya Kiroho ya Waislamu wa Tatarstan (SAM) imeripoti.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu