Jumatatu, 27 Shawwal 1445 | 2024/05/06
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Afghanistan:

Msururu wa Makongamano ya Kunusuru na Kuomba Nusra kwa ajili ya Ukombozi wa Msikiti wa Al-Aqsa!

Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na Mujahidina mashujaa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi, ambalo linaendelea kushambulia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake na ulipuaji wake mabomu unaoendelea kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika wiki zilizo pita dhidi ya Waislamu wa waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa Waislamu zaidi ya 30,000, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Afghanistan iliandaa msururu wa makongamano na amali kubwa zilizohudhuriwa na maelfu ya watetezi na waungaji mkono wanaotaka kutaharaki kwa majeshi ya Waislamu ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na najisi ya Mayahudi wahalifu katili.

Jumatatu, 15 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 30 Oktoba 2023 M

- Baadhi ya Makongamano na Amali Pana zilizo Andaliwa -

1. Kongamano la kwanza jijini Kabul lilihudhuriwa na washiriki 4500

2. Kongamano la pili jijini Kabul lilihudhuriwa na washiriki 6000 - 7000

3. Kongamano la Takhar Kaskazini lilihudhuriwa na washiriki 3000

4. Kongamano la Kunduz Kaskazini lilihudhuriwa na washiriki 2500

5. Kongamano la Badakhshan Kaskazini lilihudhuriwa na washiriki 1500

6. Kongamano la Balkh Kaskazini lilihudhuriwa na washiriki 1200

7. Kongamano la Kapisa Kaskazini lilihudhuriwa na washiriki 2000

8. Kongamano la kwanza eneo la Mashariki mwa Nangarhar lilihudhuriwa na washiriki 3000

9. Kongamano la pili eneo la Mashariki mwa Nangarhar lilihudhuriwa na washiriki 2000

- Sehemu ya Kongamano la Kwanza Jijini Kabul -

- Sehemu ya Kongamano la Pili Jijini Kabul -

- Sehemu ya Kongamano la Kaskazini -

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa mengi zaidi, Tafadhali zuru Tovuti za Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan
Chaneli ya Youtube ya Hizb ut Tahrir/ Wilayah Afghanistan

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu