Jumanne, 21 Shawwal 1445 | 2024/04/30
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Australia:

Mko Wapi na Nusra ya Palestina Enyi Majeshi ya Waislamu?!

Mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha kuuawa na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 43,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Australia iliandaa kisimamo ambacho kiliyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji.

Imewasilishwa na: Ustadh Anas Al-Wahwah

Jumanne, 07 Jumada Al-Awwal 1445 H sawia na 21 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Australia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Australia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Australia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu