Jumanne, 13 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/21
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Australia:

Nusra kwa Watu wetu Eneo la Turkestan Mashariki Kisimamo Mbele ya Ubalozi wa China

Katika kujibu shambulizi la kinyama kwa Waislamu wenzetu wa Uighur Mashariki ya Turkistan yaliyo fanywa na serikali ya China, na pia chini ya muongozo wa Mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al-Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir, ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir / Australia ulitembelea Ubalozi wa China uliopo jijini Sydney na kukabidhi Taarifa kwa Vyombo vya Habari uliotolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani "Khilafah Itakomboa Turkestan Mashariki na kuwanusuru Uyghur kutoka kwa Ukandamizaji wa Kihalifu wa Uchina." Hata hivyo, ubalozi huo uliukataa ujumbe pamoja taarifa yao kwa vyombo vya habari na kisha kufunga milango ya ubalozi wao wakati wa saa za kazi yote ni sababu ya kisimamo cha Hizb mbele ya Ubalozi huo.

Ijumaa 29, Rajabu 1440 H  -  05 Aprili, 2019 M

- Ujumbe ulio rekodiwa nje ya Ubalozi wa China

(Kiarabu)

- Ujumbe ulio rekodiwa nje ya Ubalozi wa China

(Kiingereza)

Mkusanyiko wa Picha

Imebadilishwa mara ya mwisho mnamoIjumaa, 26 Juni 2020 19:42

Media

https://media.htmedia.me/Australia/2019/04/cjina_consulate_05042019Ar.mp4

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu