Jumamosi, 25 Shawwal 1445 | 2024/05/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Maandamano Makubwa “Pelekeni Jeshi la Pakistan Kuikomboa Gaza!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 110,000, wanaume na wanawake, hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan iliandaa maandamano makubwa katika miji mikubwa ya Pakistan chini ya Kichwa:

“Pelekeni Jeshi la Pakistan kuikomboa Gaza!”

Wito wa maandamano ulielekezwa haswa kwa Wanajeshi wa Pakistan, na ni wito wa kuwaondoa watawala vibaraka waliozuia majeshi kutaharaki, ni wito kwa maafisa kutoa nusra yao kwa Hizb ut Tahrir ili kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, ni wito wa kutaharaki chini ya uongozi wa Khalifa Aliyeongoka ili kuinusuru Gaza na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Ijumaa, 19 Ramadhan 1445 H sawia na 29 Machi 2024 M

- Ripoti ya Video kuhusu Maandamano Makubwa -

- Sehemu ya Maandamano ya Mji wa Islamabad -

- Sehemu ya Maandamano ya Mji wa Karachi -

- Sehemu ya Maandamano ya Mji wa Lahore -

 

- Sehemu ya Maandamano ya Mji wa Peshawar -

- Alama Ishara za Kampeni -

#إحياء_روح _بدر

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#ReviveBadrSpirit

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu