Jumapili, 26 Shawwal 1445 | 2024/05/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Maandamano ya Kuyataka Majeshi ya Waislamu Kuikomboa Palestina Yote!

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo ilisababisha kuuawa kishahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu wanaume na wanawake zaidi ya elfu 22 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Uswidi iliandaa maandamano ya kuyataka Majeshi ya Waislamu kutaharaki ili kuwanusuru Waislamu mara moja katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutoka kwa makucha ya Mayahudi wanyakuzi wauaji katili.

Basi kuweni pamoja nasi na mushiriki thawabu, na Mwenyezi Mungu atatunusuru, hata kama ni baada ya muda.

Jumamosi, 12 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 28 Oktoba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu