Jumapili, 26 Shawwal 1445 | 2024/05/05
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Ikiwa Wewe ni Msaidizi wa Watawala wa Kitwaghut, Basi Wewe sio Miongoni mwa Ummat Muhammad !

Kalima ya Ustadh Youssef Ahmed, mwanachama wa Hizb ut Tahrir / Uswidi, ya kuwanusuru na kuwaombea nusra Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na wito kwa majeshi ya Waislamu kuvunja vizuizi ambavyo watawala wa Ruwaibidha wamewawekea katika kambi zao na kutaharaki mara moja kuwanusuru Mujahidina nchini Palestina ili kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutokana na makucha ya Mayahudi wahalifu.

Ijumaa, 26 Rabi' ul-Akhir 1445 H sawia na 10 Novemba 2023 M

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo Zaidi Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Uswidi:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / sweden

Akaunti ya Instagram ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Chaneli ya YouTube ya Hizb ut Tahrir / Sweden

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu