Jumamosi, 10 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia:

Amali za Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo Mateka!

Mbele ya ushujaa ulioonyeshwa na Mujahidina katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) chini ya kauli mbiu (Kimbunga cha Al-Aqsa) dhidi ya umbile la Kiyahudi, ambalo linaendelea kuuvumia Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa, na uzingiraji wake unaoendelea na kudumu kwake kwa miaka 17 kwenye Ukanda wa Gaza, na mbele ya mauaji ya kikatili yaliyofanywa na umbile hili halifu katika wiki mbili zilizopita dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yalisababisha mauaji na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake wa Kiislamu elfu 21, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia iliandaa msururu wa amali za kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu  kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wanyakuzi katili.

Jumamosi, 06 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 21 Oktoba 2023 M

- Msikiti wa Al-Zaytouna -

Mkutano na Sheikh wa Msikiti wa Al-Zaytouna Al-Maamour Hussein Al-Ubaidi juu ya Matukio ya Gaza na anatoa risala tatu kwa Umma na Majeshi yake

Alhamisi, 04 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 19 Oktoba 2023 M

- Mji wa Sfax-

Kalima ya Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo Mateka

Alhamisi, 04 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 19 Oktoba 2023 M

- Mji Mkuu Tunis -

Mkutano na Sheikh Al-Jaziri, Mkurugenzi wa Chaneli ya Quran Tukufu nchini Tunisia, juu ya kile kinachoendelea kwenye Ukanda wa Gaza na kutuma risala tatu muhimu

Alhamisi, 04 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 19 Oktoba 2023 M

- Mji wa Bizerte -

Kalima ya Msikitini ya Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo Mateka

Ijumaa, 05 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 20 Oktoba 2023 M

- Mji wa Qalibia -

Kalima ya Msikitini ya Kuwanusuru Watu wa Palestina na Al-Aqsa iliyo Mateka

Ijumaa, 05 Rabi' Al-Akhir 1445 H sawia na 20 Oktoba 2023 M

- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa maelezo zaidi tafadhali zuru mitandao ya Hizb ut tahrir / Wilayah Tunisia:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Ukurasa wa Facebook wa Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu