Jumamosi, 10 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/18
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Kongamano la Istanbul “Suluhisho la Tatizo (la Israel) na Ukombozi wa Palestina katika Vidokezo 10”

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa na kujeruhiwa zaidi ya wanaume na wanawake elfu 40 wa Kiislamu mpaka kufikia sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki, inaandaa silsila ya makongamano na mikutano chini ya kichwa:

“Suluhisho la Tatizo (la Israel) na Ukombozi wa Palestina katika Vidokezo 10”

Miongoni mwayo kulikuwa na mkutano huu, ambao ulifanyika katika kitongoji cha Arnaout Koi jijini Istanbul kuelezea uhalisia wa kadhia ya Palestina na jinsi utakavyokuwa ukombozi wake kutokana na najisi ya Mayahudi wanyakuzi.

Jumapili, 28 Rabi’ Al-Akhir 1445 H sawia na 12 Novemba 2023 M

Alama Ishara za Amali Hizi

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu