Jumamosi, 25 Shawwal 1445 | 2024/05/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Kongamano kwa Kichwa “Roho ya Upinzani dhidi ya Ukaliaji Kimabavu” katika Maeneo 50

Mbele ya mauaji ya kikatili yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu waliotengwa katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha vifo na majeraha kwa wanaume na wa wanawake wa Kiislamu zaidi ya 78,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa makongamano makubwa ya halaiki katika miji na maeneo Hamsini chini ya kichwa:

Ujasiri wa Upinzani dhidi ya Ukaliwaji Kimabavu!”

Kuyataka majeshi ya Waislamu kutaharaki mara moja ili kuwanusur Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kimabavu kuanzia mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Watu wetu wote walialikwa kuhudhuria makongamano ambayo tuliyaandaa kwa wakati mmoja katika miji 24 na maeneo 50 usiku wa Disemba 31, 2023 M.

Jumapili, 18 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 31 Disemba 2023 M

- Sehemu ya Amali Pana za Kuinusuru Palestina Inayokaliwa Kimabavu -

Alama Ishara za Amali Hizi

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu