Ijumaa, 24 Shawwal 1445 | 2024/05/03
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Amali Kubwa “Ramadhan ni Wakati wa Kuungana kwa Ajili ya Gaza!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi mitano, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa Waislamu zaidi ya 110,000 hadi sasa, Hizb ut Tahrir/ Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa ya halaiki kote Uturuki chini ya kichwa:

“Ramadhan ni Wakati wa Kuungana kwa ajili ya Gaza!”

Kuwataka Waislamu waungane chini ya bendera ya Khalifa mmoja ambaye atakusanya mara moja majeshi kwa ajili ya kuwanusuru Waislamu waliodhulumiwa katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu kutoka mto wake hadi bahari yake kutokana na makucha ya Mayahudi wauaji wahalifu.

Ijumaa, 05 Ramadhan 1445 H sawia na 15 Machi 2024 M

- Mji wa Ankara -

Kongamano la Halaiki

“Ramadhan ni Wakati wa Kuungana kwa ajili ya Gaza!”

Jumamosi, 28 Sha’aban 1445 H sawia na 09 Machi 2024 M


- Alama Ishara za Amali -

#طوفان_الأقصى

#الجيوش_إلى_الأقصى

#الأقصى_يستصرخ_الجيوش

#AksaTufanı

#OrdularAksaya

#ArmiesToAqsa

#AqsaCallsArmies

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki:

Tovuti Rasmi: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Facebook: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Twitter: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Instagram: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

YouTube: Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki

Jarida la Koklu Degisim

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu