Jumapili, 11 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Uingereza Inataka Kuipiga Marufuku Hizb ut Tahrir

 Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uingereza James Cleverly alitangaza kupiga marufuku Hizb ut-Tahrir, akilitaja kama shirika la kigaidi. Alisema kuwa Hizb ina chuki dhidi ya Mayahudi kwa vile ilisherehekea mashambulizi ya Hamas huko Gaza dhidi ya ‘Israel’ mnamo Oktoba 7. Alisema kwamba Hizb iliwasifu Hamas kama mashujaa na kwamba hatua hiyo inashajiisha ugaidi.

Soma zaidi...

Miaka 60 ya ‘Mapinduzi’ ya Zanzibar: Kuna Chochote cha Kusherehekea?

Januari 12, 2024 kile kinachoitwa “mapinduzi” ya Zanzibar yalifikisha miaka sitini tangu yalipotokea Januari 12, 1964. Baada ya miaka mingi kupita, swali muhimu linabaki: Je, cha kusherehekea, ukiachilia mbali wanasiasa na wachache katika “familia za wanamapinduzi” je watu wa kawaida wana kitu cha kusherehekea?!

Soma zaidi...

Suluhisho Angamivu la Marekani la Dola Mbili Linahalalisha na Kuendeleza tu Jinai za Wazayuni dhidi ya Wapalestina

Huku mauaji ya halaiki huko Gaza yakiendelea, kumekuwa na ongezeko la wito kutoka kwa serikali ya Marekani na serikali zingine za Kimagharibi na vile vile Muungano wa Ulaya, Umoja wa Mataifa na watawala wa nchi za Waislamu ili kuongeza juhudi za kulifanya suluhisho la dola mbili kwa Palestina lizae matunda.

Soma zaidi...

Ushindi Utapatikana tu kwa Kulitokomeza Umbile Vamizi la Kiyahudi Pekee na hivyo Kuikomboa Ardhi Hiyo

Gazeti la ‘The Guardian’ liliripoti mnamo 24 Disemba 2023, “Kwa uchache watu 166 wameuwawa tangu Jumamosi, wizara ya afya katika eneo linalo endeshwa na Hamas ilisema, ikifikisha idadi ya waliouwawa hadi 20,424, ingawa maelfu zaidi wanaaminika kuzikwa chini ya vifusi.

Soma zaidi...

Umma wa Muhammad Umeachwa Unazama kwenye Mafuriko ya Matope na Takataka Bila ya Khilafah

Gazeti la ‘The Guardian’ liliripoti kuwa baadhi ya maeneo ya Gaza yanakabiliwa na mafuriko makubwa wakati wa msimu huu wa baridi baada ya usiku wa mvua kubwa na upepo mkali.  Maeneo yaliyoathiriwa ni pamoja na kambi za wakimbizi za Jabalia. Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa zaidi ya 85% ya raia wa Gaza sasa wamekimbia makaazi yao; wengi wao ni wanawake na watoto.

Soma zaidi...

Vita vya Fitna Vinaweza Tu Kwisha kwa Kuunganisha Pakistan na Afghanistan kama Dola Moja ya Khilafah

Pakistan ilipoteza wanajeshi ishirini na watano katika Dera Ismail Khan wa Khyber Pakhtunkhwa, mrengo wa masuala ya vyombo vya habari wa jeshi (ISPR), ulisema mnamo tarehe 12 Disemba 2023. Tehreek-i-Jihad Pakistan (TJP), kundi jipya linaloshirikiana na Tehreek-i-Taliban Pakistan (TTP), ilidai kuhusika na shambulizi kwenye kituo cha ukaguzi.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu