Athari za Mkutano wa Amerika na Urusi Jijini Geneva
- Imepeperushwa katika Maswali ya Kisiasa
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
"Kamati ya utetezi wa wafungwa katika kesi ya kile kinachojulikana kama "uchochezi" nchini Jordan ilielezea kutoridhika kwake na kile ilichoelezea kama hatua ya mamlaka "kuwanyimwa" haki za kimsingi ... na kuwataka waruhusiwe kukutana nao wajue uchunguzi unaofanywa nao."
["Mapema mnamo siku ya Ijumaa, Bunge la Kyrgyz liliidhinisha kujiuzulu kwa Rais Sooronbay Jeenbekov, na kufutilia mbali hali ya hatari, ambayo ilitangazwa wiki moja iliyopita katika mji mkuu, Bishkek ..." (www.yenisafak.com/ar/,16 / 10/2020)].
Mnamo tarehe 8/10/2020, Waziri wa Mambo ya nje wa Uturuki Mevlut Cavusoglu alifichua kwamba alikuwa amefikia makubaliano mapya kati ya nchi yake na Ugiriki.
"Rais wa Azerbaijan, Ilham Aliyev alisema katika hotuba iliyopeperushwa kwenye runinga ya serikali jioni ya Jumapili tarehe 4/10/2020 kwamba Armenia lazima iweke ratiba ya kujiondoa kutoka katika eneo la Nagorno-Karabakh kabla ya kusitisha makabiliano yaliyofanyika huko takriban wiki moja iliyopita ... Aliyev alichukulia kuwa kuudhibiti mji wa Gabriel jana, Jumapili, ni funzo kwa Armenia na wafuasi wake, na inapaswa kuzingatia kutokana na hilo, kama alivyosema." (Al-Jazeera, 5/10/2020).
Baraza la Kijeshi nchini Mali lilitangaza mnamo Alhamisi jioni 27/8/2020 kuachiliwa huru kwa Raisi Ibrahim Boubacar Keita, kwa mujibu wa kile kilicho ripotiwa na shirika la Anadolu.
Tunajua kwamba Muhammad Al-Fatih – Mwenyezi Mungu awe radhi naye – pindi alipoifungua Konstantinopoli aliifanya Hagia Sophia kuwa msikiti… Tunajua pia kwamba Mustafa Kamal – laana za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake – aliiondoa sifa hii ya msikiti ya Hagia Sophia na kuifanya kuwa makavazi...
Shirika la habari la Reuters lilichapisha mnamo 10/06/2020: "…
Karibu wiki mbili zilizo pita, Amerika ilizongwa na maandamano makubwa katika baadhi ya maeneo yaliyojaa ghasia, uporaji wa maduka, na uteketezaji vituo vya polisi. Je, mauaji ya mtu mmoja mweusi nchini Amerika yaweza kuchochea maandamano kama hayo?
Kama ilivyo mashuhuri, Al-Kadhimi alijishindia imani ya idadi kubwa ya Bunge linalo unga mkono Iran, ingawa anatuhumiwa na pande zilizo tiifu kwa Iran na watu wake nchini Iraq kushirikiana na Amerika katika mauaji ya Soleimani, na baadhi ya watu wa Iran wanamtaja kama mtu wa Amerika.