Jumapili, 11 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mazungumzo ya Vienna na Maslahi ya Amerika

Mnamo Juni 13, 2021: “Mazungumzo yasio ya moja kwa moja baina ya Tehran na Washington juu ya kufufua mkataba wa nuklia wa Iran wa 2015 yalianza tena mjini Vienna siku ya Jumamosi huku Muungano wa Ulaya ukisema majadiliano hayo yalikuwa “magumu” na Ujerumani ilitaka maendeleo ya haraka…

Soma zaidi...

NATO Yahangaikia Uhusiano Stahiki

Mkutano wa mwanzo baina ya Ulaya na Amerika ulifanyika karibuni katika mkutano wa Wakuu wa Nchi za NATO mjini Brussels. Baada ya Donald Trump kuikosoa Ulaya kwa kutotekeleza jukumu lao katika mahusiano ya ushirikiano wao unaovuka ng'ambo ya bahari ya Atlantiki kufikia kiwango cha chini kabisa baina ya washirika.

Soma zaidi...

Kuiweka Wazi Hali ya Palestina

Tokea siku za mwisho za Ramadhan wakati watu wengi kote duniani wakitazama picha za kuogofya huku vikosi vya Kizayuni vikivamia eneo la al-Aqsa na walowezi wa Kizayuni wakijaribu kuwafurusha wakaazi katika Sheikh Jarrah, mambo sasa yamepamba moto na kuwa mzozo kamili wakati umbile la Kiyahudi sasa likiivamia Gaza.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu