Jumapili, 11 Dhu al-Qi'dah 1445 | 2024/05/19
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Je, Mnaweza Kubadilisha hadi Mfumo wa Dhahabu na Fedha Badala ya Kujidanganya kwa Kubaki kwenye Mfumo wa Fedha wa Kulazimishwa? (Imetafsiriwa)

Mnamo siku ya Jumamosi, tarehe 20 Ramadhan 1445 H, sawia na 30/3/2024 M, Gavana wa Benki Kuu jijini Sana'a, Hashim Ismail, alifanya mkutano na waandishi wa habari, ambapo alitangaza kutolewa kwa sarafu mpya ya riyal 100 kuchukua nafasi ya noti ya riyal 100 iliyoharibika iliyotolewa naye. Matumizi ya sarafu mpya yalianza kutumika mnamo Jumapili, Ramadhan 21, 1445 H.

Soma zaidi...

Kuhuisha Udugu wa Kiislamu, Khilafah Rashida Itawahamasisha Waislamu wa Jeshi la Pakistan na Maeneo ya Kikabila kwa ajili ya Ushindi dhidi ya Makafiri

Damu takatifu ya Waislamu ilimwagwa katika mwezi uliobarikiwa wa Ramadhan wakati wa mapigano makali kati ya Waislamu wa Jeshi la Pakistan na Waislamu wa maeneo ya makabila. Mnamo tarehe 17 Machi, tulipoteza vikosi saba vya Jeshi la Pakistani. Kisha mnamo tarehe 18 Machi, tulipoteza Waislamu zaidi, wakati Jeshi la Anga la Pakistan lilipopiga mabomu ndani ya Afghanistan.

Soma zaidi...

Ufunguzi wa Afisi ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Sudan mjini Port Sudan

Kwa msaada na muongozo wa Mwenyezi Mungu, leo, Jumapili, tarehe 7 Ramadhan 1445 H, sawia na tarehe 17 Machi, 2024, Afisi ya Hizb ut Tahrir katika Wilaya ya Sudan imezinduliwa mjini Port Sudan (mtaa wa Al-Athmah), kusini-mashariki mwa uwanja. Itatumika kama nguzo ya kueneza fikra za Kiislamu, jukwaa la thaqafa ya Kiislamu, kitovu cha utambuzi wa kisiasa, na nukta kianzilishi cha ubebaji ulinganizi kuregesha maisha kamili ya Kiislamu kupitia kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya utume.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu