Jumamosi, 25 Shawwal 1445 | 2024/05/04
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Mahdi Al-Mashat Aliota!! Na Pindi alipoamka, Alikataa Mchana Peupe Kubeba Mas'uliya kwa Wale Aliowateuwa Yeye Mwenyewe kama Mtawala Wao

Yule anayeitwa Mkuu wa Afisi ya Upeo ya Kisiasa jijini Sanaa, Mahdi Al-Mashat, katika ujumbe aliamuru viongozi wa Wizara ya Afya kuitambua hospitali ambayo inajumuisha utaalamu maarufu zaidi katika kila vitengo vya magatuzi yaliyo chini ya udhibiti wa wanamgambo wake,

Soma zaidi...

Lini Mtume wa Mwenyezi Mungu(saw) Alisimamisha Dola ya Kiraia?!

Mahmoud Al Junaid, Naibu Waziri Mkuu mpya aliyeteuliwa mnamo 05/11/2019 kwa ajili ya “Ruwaza ya Kitaifa ya Dola ya Kisasa ya Yemen” aliweka wazi kwa mara ya kwanza msamiati wa ‘dola ya kiraia’ pale aliposisitiza katika mkutano na Mawaziri wa Usafiri Zakaria al-Shami, Utawala wa mitaa Ali al-Qaisi, na huduma kwa raia Idris Al-Sharajbi, mnamo Jumanne 19/11/2019

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu