Hizb ut Tahrir / Ardhi Iliyobarikiwa: Kitengo cha Wanawake…
Jumanne, 28 Rajab 1446 - 28 Januari 2025
Kwa mnasaba wa ujio wa kumbukumbu ya miaka 104 ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na makhaini wa Kiarabu na Kituruki iliyoasisiwa na Bwana wa Mitume Muhammad (saw) na maswahaba zake watukufu na waliobarikiwa, Mwenyezi Mungu awawie radhi, na kukomeshwa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab al-Muharram katika mwaka wa 1342 H sawia na 03/03/1924 M, Kitengo cha Wanawake cha Hizb ut Tahrir katika The Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) kinawasilisha mkusanyiko wa kalima hizo.
Hatari ya Uhamisho Inayotafutwa na Trump na Umbile la Kiyahudi…
Utawala wa Jordan na kundi la watu wake wakati wote wa vita vya Kiyahudi dhidi…
Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 533
Vichwa Vikuu vya Toleo 533
Kuganda Baridini hadi Kufa kwa Watoto Wachanga, na Njaa na…
Mnamo tarehe 30 Disemba, iliripotiwa kuwa mtoto wa 6 waliganda hadi kufa mjini Gaza ndani…
Wauyghur Pia Ni Sehemu ya Umma Bora, Musiwasahau
Tunapokaribia kumbukumbu ya mwaka wa 104 wa kuvunjwa kwa Khilafah, Umma wa Kiislamu unaendelea kupokea…
Machafuko na Ghasia nchini Sudan Kusini Zinasisitiza Haja ya Umma…
Ulimwengu umefuatilia machafuko ya Juba, mji mkuu wa Sudan Kusini, ambayo yalilenga watu waliokimbia makaazi…