Taarifa ya Hizb ut Tahrir / Ukraine Kuhusiana na Matokeo ya Hivi Majuzi ndani ya Crimea
- Imepeperushwa katika Ukraine
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mnamo 27 Februari, majumba ya serikali yalivamiwa na watu wasiojulikana. Wanajeshi wa Urusi wanatembea huru ndani ya peninsula na ripoti zinaendelea kuwasili kuhusu uvamizi wa kijeshi na kiraia katika makao makuu na mfano wake.