Jumatano, 03 Dhu al-Qi'dah 1446 | 2025/04/30
Saa hii ni: 10:12:31 (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Kongamano la kila Mwaka la Khilafah: “Kufeli kwa Serikali ya Kisasa na Kutoepukika kwa Khilafah”

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia itafanya kongamano lake la kila mwaka la Khilafah siku ya Jumamosi, 26 Aprili 2025, katika makao makuu ya makongamano kwenye Makutano ya barabara ya Sakra katika mji mkuu, Tunis, chini ya kichwa: “Kufeli kwa Serikali ya Kisasa na Kutoepukika kwa Khilafah”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Kenya Yafanya Kisimamo cha kutoa Wito wa Amali ya Kijeshi dhidi ya Umbile la Mauaji ya Halaiki la Kiyahudi

Kufuatia mauaji ya halaiki yanayoendelea kufanywa na umbile la Kiyahudi dhidi ya watu wa Gaza, Hizb ut Tahrir/Kenya mnamo siku ya Ijumaa tarehe 18 Aprili, ilifanya ilifanya kisimamo baada ya Swala ya Jumaa jijini Mombasa na Nairobi. Katika Jiji la Pwani, kisimamo kilifanyika nje ya Masjid Nur huku Nairobi kikifanyika katika Masjid Hidaya mtaa wa Eastleagh. Mada kuu ya Kisimamo ilikuwa ni kuibua wito wa dhati kwa Majeshi katika nchi za Kiislamu kuvunja minyororo ambayo watawala wao wamewaweka katika kambi zao ili wasonge mara moja kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa kutoka katika makucha ya Mayahudi wanaoukalia kwa mabavu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Kampeni ya “Majeshi na Yaelekee Al-Aqsa”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 18, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi, kujeruhiwa na kupotezwa zaidi ya wanaume na wanawake 170,000 wa Kiislamu hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilaya ya Pakistan inaandaa msururu wa amali kwa kichwa: “Majeshi na Yaelekee Al-Aqsa”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Gaza Inahitaji Majeshi Kuwapindua Watawala na Kutangaza Jihad”

Matembezi yalioandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia yalitoka katika mji mkuu wa Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, mnamo tarehe 13 Shawwal al-Khair 1446 H sawia na tarehe 11 Aprili 2025 M kuanzia Msikiti wa Al-Fath kunusuru watu wa Palestina na Msikiti wa Al-Aqsa ulio mateka, ambayo yaliitishwa na watu wa Zaytouna Tunisia chini ya kichwa: “Gaza Inahitaji Majeshi Kuwapindua Watawala na Kutangaza Jihad”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Uholanzi: Matembezi Jijini Amsterdam “Harakati kwa ajili ya Gaza!”

Kufuatia umbile halifu la Kiyahudi kukiuka makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano alfajiri ya Jumanne, Machi 18, 2025, na kuanza tena mauaji ya kimpangilio ya Waislamu wasio na ulinzi, ambao wengi wao ni wanawake, watoto, na wazee, Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa matembezi na kisimamo cha halaiki katika mji mkuu wa Uholanzi, Amsterdam, kwa kichwa: “Harakati kwa ajili ya Gaza!”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Enyi Majeshi (Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi?”

Matembezi yalitoka katika mji mkuu wa Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, mnamo tarehe 28 Machi 2025 sawia na tarehe 28 Ramadhan 1446 kuanzia Msikiti wa Al-Fath yalioandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia kuinusuru Gaza dhidi ya uadui wa Marekani Mzayuni, ambayo yaliitishwa na watu wa Zaytouna Tunis na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa watu kutoka Tunisia ya kijani. Mabango yaliinuliwa, bango kuu likisomeka, “Enyi majeshi! (Mna nini mnapo ambiwa: Nendeni katika Njia ya Mwenyezi Mungu, mnajitia uzito katika ardhi?)”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Visimamo na Matembezi “Inatosha... Majeshi na yaelekee Al-Aqsa!”

Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili ya halaiki ambayo yamekuwa yakiendelea kwa zaidi ya miezi 17, yanayofanywa na umbile halifu la Kiyahudi dhidi ya Waislamu wasio na ulinzi katika Ukanda wa Gaza uliozingirwa, ambayo yamesababisha kuuawa shahidi na kujeruhiwa kwa Waislamu zaidi ya 170,000, wanaume na wanawake hadi sasa, Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa msururu wa amali kufuatia umbile halifu la Kiyahudi kukiuka makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano alfajiri ya Jumanne, 18 Machi 2025.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu