Jumapili, 20 Jumada al-thani 1446 | 2024/12/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Udanganyifu wa Chaguo: Kwa nini Upigaji Kura katika Mfumo wa Kisekula Unawabwaga Waislamu

Jamii ya Kiislamu ina majukumu muhimu, ndani na kimataifa. Ndani ya nchi, Waislamu wanapaswa kuunda majukwaa yao ya kisiasa, si kwa madhumuni ya kupiga kura, bali kuimarisha kitambulisho cha Kiislamu, kujenga mafungamano ya jamii, na kushiriki katika dawah. Kwa kushughulikia masuala ya kijamii kama vile ukosefu wa makao, mwanya wa kiuchumi, na maadili ya kifamilia, Waislamu wanaweza kuonyesha masuluhisho ya Uislamu kwa matatizo ya kijamii, wakiyawasilisha kama jibu kwa changamoto za kisasa. Uwepo imara wa Waislamu, katika jamii na kwenye mitandao ya kijamii, unaweza kushajiisha kutafakari juu ya hekima ya mafundisho ya Kiislamu.

Soma zaidi...

Waislamu wa Dearborn, Michigan Wasimama Imara kwa ajili ya Ulinzi wa Watoto Wetu Uislamu dhidi ya Ajenda ya Kisekula ya LGBTQ

Macho yote yako kwa Dearborn, Michigan - nyumbani kwa mkusanyiko wa idadi kubwa zaidi ya Waarabu-Waamerika nchini - kama wazazi, haswa na wazazi Waislamu, kwa ujumla wakipinga usambazaji wa vitabu viovu vya LGBTQ katika mfumo wa shule za umma wa jiji hilo.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu