“Wala msilegee, wala msihuzunike, kwani nyinyi ndio wa juu mkiwa ni Waumini"
- Imepeperushwa katika Ulaya
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kipindi cha hivi majuzi kimeshuhudia mjumuiko wa mashambulizi mabaya ambayo yamepelekea kwa vifo vya raia, Waislamu na wasiokuwa Waislamu ikijumuisha wanawake na watoto wengi.