Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh iliandaa Kisimamo cha Kulaani Mauaji ya Halaiki Gaza Enyi Waislamu! Kataeni ‘Suluhisho la Dola Mbili’ na Mutoe Wito kwa Maafisa wa Jeshi Wafuate Nyayo za Salahuddin Ayyubi ili Kuikomboa Palestina

Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh, leo, Ijumaa (10/5/2024), iliandaa visimamo na maandamano ya kulaani katika majengo mbalimbali ya misikiti ya Dhaka na Chittagong, yenye kichwa “Enyi Waislamu! Kataeni 'Suluhisho la Dola Mbili' na mutoe wito kwa maafisa wa jeshi kufuata nyayo za Salahuddin Ayyubi ili kuikomboa Palestina."

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir Iliandaa Maandamano dhidi ya Kuwasili kwa Ndege Mbili moja kwa moja kutoka Tel Aviv hadi Dhaka kwa Siku Mbili Mfululizo kama Sehemu Uhalalishaji Mahusiano wa Serikali ya Hasina na Umbile haramu la Kiyahudi

Hizb ut Tahrir/Wilayah Bangladesh, leo (19/4/2024) iliandaa maandamano na matembezi katika majengo tofauti ya misikiti ya Dhaka na Chittagong mnamo Ijumaa (19/4/2024) kwa kichwa, “Ndege mbili zilizowasili Dhaka siku mbili mfululizo moja kwa moja kutoka kwa dola haramu ya Israel, hatua muhimu katika uhalalishaji uhusiano na dola hiyo haramu ya Kiyahudi” - kupitia hili, serikali ya Hasina Imenyakua Jani la Mulberry ambalo lilisitiri Uchi wa Usaliti wake wa Uislamu na Waislamu”.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilaya Bangladesh Imezindua Kampeni: Enyi Vijana Jasiri makini na Waaminifu! Mfumo wa Dola wa sasa Hauwezekani Kurekebishwa - Suluhisho sahihi pekee Nikuubadilisha Kikamilifu Mfumo huu kupitia Kusimamisha Tena Khilafah Rashida

Enyi Vijana Jasiri makini na Waaminifu! Mfumo wa Dola wa sasa Hauwezekani Kurekebishwa - Suluhisho sahihi pekee Nikuubadilisha Kikamilifu Mfumo huu kupitia Kusimamisha Tena Khilafah Rashida

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir/ Wilayah Bangladesh: Kampeni, Fanyakazi na Hizb ut Tahrir ili Kusimamisha Khilafah Rashida

Wakati ambapo Waislamu wanataabika na kuhisi kutokuwepo kwa ngao yao, Khilafah, Hizb ut Tahrir Wilayah Pakistan imeanzisha Kampeni ya Twitter ili kuwataka simba wa Vikosi vya Kijeshi vya Pakistan kutoa Nussrah kwa Hizb ut Tahrir ili kusimamisha Khilafah ili hatimaye waweze kuunganishwa katika ukombozi wa Kashmir iliyo Vamiwa, na kwenda kuikomboa Al Aqsa Al Mubarak.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu