Hotuba ya Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Rashtah, Amir wa Hizb ut Tahrir kuhusu kuanza kwa mwezi wa Dhul Hijjah 1438 Hijria
- Imepeperushwa katika Hotuba
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tovuti ili nukuu taarifa ya Trump kwa wanahabari mnamo 10/8/2017: kuwa idara yake iko 'karibu sana' ya kuamua mkakati mpya kwa Afghanistan… aliongeza: "Ni maamuzi makubwa sana kwangu. Nilirithi vurugu na tutajaribu kupunguza vurugu lake".
Raisi wa Amerika Donald Trump amerudi tena siku ya Alhamisi kuzungumzia ziara yake ya hivi karibuni nchini Ufaransa. Trump alisema katika mahojiano na gazeti la The New York Times "Ni mtu mkubwa sana", akimkusudia Macron.
Kwa wabebaji da’awa wasafi na wachamungu, na hatusifu mtu yeyote kwa Mwenyezi Mungu, wale ambao husema maneno bora na kufanya kazi njema, ambapo Mwenyezi Mungu huwasifu wale ambao wana sifa hizo:
Trump alisema katika mkutano wa waandishi habari akiwa na mwenzake wa Romania katika ikulu ya White House mnamo 9/6/2017: ((…wahusika wakuu katika eneo wamekubaliana kusitisha ufadhili wa ugaidi, ima kifedha, kijeshi au hata kusaidia kimaadili.
Ndugu zangu wapenzi mabwana na mabibi, nakupeni habari njema katika usiku huu wenye baraka kwa kuadhimisha matukio mawili muhimu sana:
Katika jibu la swali lilopita la 05/02/2017, imefafanuliwa misingi mikuu ya siasa ya Trump kuelekea kutumia “matunda” ya siasa ya Obama katika Syria na hasa kuibuka kwa dori ya Uturuki kwa nguvu katika kuisalimisha Aleppo kwa serikali, na vilevile kuelekea kuidunisha dori ya Urusi.
Ametangaza Rais wa Marekani Obama katika tarehe 29/12/2016 ambapo ni wiki tatu kabla ya kuondoka kwake (madarakani), mfulululizo wa adhabu kali dhidi ya Urusi zenye kujumuisha kufukuzwa kutoka Marekani kwa idadi kubwa ya wanadiplomasia wa Urusi “ambao ni 35” na kufungwa kwa balozi/majumba ya wanadiplomasia wa Urusi huko Maryland na New York kwa kisingizio cha ujasusi…
Ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu (swt) ndio twaishi katika zama za mwisho. Hii ni zama ambayo imezungukwa na usiku ulio na kiza cha Ukafiri ambacho kila mwenye akili timamu atashtushwa kukishuhudia.
Jarida la Al-Waie lilipokea baadhi ya kumbukumbu za ndugu muheshimiwa, Salim al-Amr. Tunapeperusha baadhi yake kwa kuwa ndani yake muna mafunzo na manufaa, insha'Allah kwa wale ambao watazingatia.