Hizb ut Tahrir / Marekani: Ubalozi wa China umekataa kuupokea ujumbe wa Hizb ut Tahrir!
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Katika kuitikia maelekezo ya mwanachuoni mkubwa Ata Bin Khalil Abu al- Rashtah, Amiri wa Hizb ut Tahrir, ujumbe wa Hizb ut Tahrir ulitembelea Ubalozi wa China jijini Brussels kukabidhi taarifa kwa vyombo vya habari iliyo tolewa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir kwa anwani: