Hizb ut Tahrir/ Amerika Waislamu ni Nguvu ya Kiulimwengu!
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hatupaswi kutumbukia ndani ya shimo moja mara mbili. Waislamu walio katika nchi za Magharibi ni lazima wafahamu siasa zile zile zilizofeli za karoti na kijiti ambazo inatukengeusha kutokana Suluhisho la Lazima kutoka kwa Uislamu.