Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Mfuko wa Fedha wa Kimataifa ni Taasisi ya Kikoloni!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
IMF ni taasisi ya kikoloni, na dori yake ni kudumisha utawala wa dolari ya Marekani kote duniani kupitia sera zake za kiliberali za uchumi mamboleo.