Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Amali kwa Kichwa “Gaza Inakufa… Bomoeni Kuta na Mufungue Milango!”
- Imepeperushwa katika Uturuki
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Uturuki iliandaa amali kubwa za halaiki mbele ya ubalozi wa Misri katika mji wa Ankara na mbele ya msikiti wa Dargah katika mji wa Sanliurfa chini ya kichwa:
“Gaza Inakufa… Bomoeni Kuta na Mufungue Milango!”