Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi
Profesa Dkt. Taha Khalil Aldoss (Abu Osama)
[مِنَ الْمُؤْمِنِينَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللهَ عَلَيْهِ فَمِنْهُم مَّن قَضَى نَحْبَهُ
وَمِنْهُم مَّن يَنتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِيلًا]

“Miongoni mwa Waumini wapo watu walio timiza waliyo ahidiana na Mwenyezi Mungu. Baadhi yao wamekwisha kufa, na baadhi wanangojea, wala hawakubadilisha (ahadi) hata kidogo.” [Al-Ahzab:23]

Hizb ut Tahrir / Amerika yaomboleza mmoja wa wanaume wa Hizb ut Tahrir; Profesa Dkt. Taha Khalil Aldoss (Abu Osama) aliyefariki mnamo Jumapili, Agosti 20, 2023, akiwa na umri wa miaka 72.

Ndugu Taha, Mwenyezi Mungu amrehemu, alitumia maisha yake akibeba da’wah ya Uislamu na kufanya kazi kusimamisha tena Khilafah Rashida kwa njia ya Utume.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu Mtukufu amrehemu ndugu yetu, ayafanye makaazi yake kuwa peponi na amjumuishe pamoja na Mitume, Wakweli, Mashahidi, na Wema na hao ndio maswahaba bora. Hakika, sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika kwake Yeye tutaregea.

H. 5 Safar 1445
M. : Jumatatu, 21 Agosti 2023

Hizb-ut-Tahrir
Amerika

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu