Hakuna Maeneo Salama na Hakuna Mistari Mekundu katika Kamusi ya Umbile Halifu la Kiyahudi
- Imepeperushwa katika Kitengo cha Wanawake Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Angalau watu watano wameuawa shahidi na kadhaa kujeruhiwa, kutokana na ndege za umbile halifu la Kiyahudi kulenga, mnamo Alhamisi asubuhi, 2/11/2023, Shule ya Abu Assi kwa mabomu ya fosforasi nyeupe yaliyopigwa marufuku kimataifa.