Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo kwa Kichwa “Tunawaita Wale Waliojitolea na Kutoa!”
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo kwa Kichwa “Tunawaita Wale Waliojitolea na Kutoa!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria: Kisimamo kwa Kichwa “Tunawaita Wale Waliojitolea na Kutoa!”
Kalima iliyotolewa na Ustadh Abdo Al-Dilli (Abu Al-Mundhir) wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Syria siku ya Ijumaa, "Dhulma ya Madhalimu baada ya Masiku, ni Makaburi ya Madhalimu" katika mji wa Al-Bab.
Licha ya kuongezeka kwa ushuru mara kwa mara, deni la mzunguko la sekta ya umeme linaongezeka, huku serikali pia inachukua hatua za kuregesha malipo ya umeme kupitia malipo ya kudumu katika bili. Mfumo wa kibepari haulindi maslahi ya watu bali maslahi ya mabepari wachache.
Kalima ya Ustadh Ali Al-Bakri wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir/Wilayah Syria siku ya Ijumaa, “Kumbatio, Mamlaka na Nguvu ni zenu basi Nusuruni na wala Msimtelekeze.”
Hizb ut Tahrir katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) iliandaa amali na semina kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 103 Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H.
Katika mwezi wa Rajab Tukufu mwaka huu, 1445 H - 2024 M, inarudi kwetu kumbukumbu ya uchungu ya miaka 103 H na 100 M ya kuvunjwa kwa dola ya Kiislamu na wahalifu wa Kiarabu na Kituruki, ambayo iliasisiwa na Bwana wa Mitume Muhammad (saw), na maswahaba zake watukufu (ra), na kuondolewa kwa mfumo wa utawala wa Kiislamu (Khilafah) mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu mwaka 1342 H, sawia na 03/03/1924 M, na ardhi iliyobarikiwa (Palestina) ilipotea kwa kupotea Imam ambaye ni ngao, Khalifa wa Waislamu ambaye kwaye wanapigana nyuma yake na kujihami..
Kalima yenye kichwa “Kiongozi Hawadanganyi Watu Wake” ilitolewa na Ustadh Abdo Al-Dilli (Abu Al-Mundhir), mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Syria, wakati wa kisimamo kilichoandaliwa na Hizb mnamo siku ya Ijumaa
Mnamo tarehe 31 Januari 2024, Jenerali Syed Asim Munir, NI (M), Mkuu wa Majeshi (COAS) aliongoza Mkutano wa 262 wa Makamanda wa Vikosi (CCC) uliofanyika Makao Makuu (GHQ), kama ilivyoripotiwa na kitengo cha habari cha jeshi, katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Na PR-26/2024-ISPR.
Kwa Majeshi katika Ardhi za Kiislamu: Je, hamna nyoyo za kuhisi, macho ya kushuhudia, na masikio ya kusikia? Je, hamuoni mito ya damu inayotiririka kutoka kwa watoto wa Waislamu huko Gaza?
Enyi Majeshi katika Nchi za Kiislamu, Inatosha!
Je, Munasubiri amri ya Watawala ndipo muinusuru Gaza Hashem?!