Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kitengo cha Wanawake “Enyi Majeshi ya Waislamu Ikomboeni Al-Aqsa!”
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waislamu wa Gaza wanakabiliwa na mauaji ya halaiki na umwagaji damu ambao umepitiliza mikononi mwa umbile uaji halifu la Kiyahudi. Maelfu ya wanawake wasio na hatia na watoto wameuawa.