Gazeti la Al-Raya: Vichwa Vikuu vya Toleo 494
- Imepeperushwa katika Al-Rayah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Naveed Butt Amepotezwa kwa Nguvu Tangu 11 Mei 2012 M kwa sababu Alisema Neno la Haki mbele ya Watawala Madhalimu!
Kutekwa nyara kwa Naveed Butt tangu tarehe 11 Mei 2012, ni dhambi kubwa na ukiukaji wa wazi wa haki za binadamu. Hakuna kesi ya ugaidi, uasi au uhaini iliyosajiliwa dhidi ya Naveed Butt. Zaidi ya hayo, hakuna kesi hata ya kumdhuru nzi, au kung'oa jani kutoka kwa mti, ya Naveed Butt mwenye huruma na mkarimu.
Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Enyi Waislamu wa Vikosi vya Jeshi la Pakistan! Kuweni Upande wa Ummah dhidi ya watawala wasaliti ili kulinda Dini na Akhera yenu!
Kupotezwa kwa Nguvu kwa Naveed Butt Tangu 11 Mei 2012 M Kunafichua Uongo wa Demokrasia na Uhuru wa Kujieleza!
Hizb ut Tahrir / Amerika: Maoni juu ya Maandamano ya Vyuo Vikuu!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia inaendeleza kuinusuru kwake Gaza ambapo mpaka sasa imeandaa matembezi 33 tangu kuzinduliwa cheche ya Kimbunga cha Al-Aqsa, na ina nia ya kuuamsha Umma na majeshi yake hadi wasimamishe dola la Uislamu aliyowafaradhishia juu yao Mwenyezi Mungu.
Enyi Waislamu wa Pakistan! Sasa, ni juu yetu kutimiza jukumu letu kwa Palestina, haswa Waislamu wa Gaza!
Enyi Waislamu wa Pakistan! Waislamu Jasiri wa Gaza Wanasimama Kidete Mbele ya Umbile la Kiyahudi, Hivyo Musikate Tamaa. Washajiisheni Ndugu Zenu na Watoto Wenu katika Vikosi vya Jeshi la Pakistan Kutangaza Jihad kwa ajili ya Ukombozi wa Palestina.