Hizb ut Tahrir / Wilayah Syria Maandamano ya Sahara dhidi ya Kauli za Khiyana za Serikali ya Uturuki!
- Imepeperushwa katika Syria
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut-Tahrir / Wilayah Syria iliandaa maandamano katika kijiji cha Deir Hassan viungani mwa Idlib dhidi ya matamshi ya khiyana ya mwisho ya serikali ya Uturuki ya kutaka kuwepo kwa mazungumzo kati ya wanamapinduzi na utawala wa kihalifu wa Bashar al-Assad.