Ufahamu wa Kina (Basira) na Mtazamo wa Mbele (Firasa) Unataka Ulinganizi wa Khilafah
- Imepeperushwa katika Khilafah
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mwezi wa Rajab ni kipindi pekee cha wakati unaovuma katika miezi mitatu mitukufu, unaowasha tafakkur (kutafakari) na tadabbur (kuzingatia) na kusababisha muanga wakati wa mwezi wa Ramadhan na Laylat-ul Qadr.