Ijumaa, 20 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi “Gaza Inamwachia Mwenyezi Mungu Kiwango cha Usaliti jijini Riyadh na inataka Msaada kwa Umma na Majeshi yake!”

Matembezi ya hamsini na nane ya kunusuru Palestina na mateka Al-Aqsa, ambayo yaliandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah ya Tunisia, yalifanyika katika mji mkuu, Tunis, baada ya swala ya Ijumaa, chini ya kichwa “Gaza Inamwachia Mwenyezi Mungu Kiwango cha Usaliti jijini Riyadh na inataka Msaada kwa Umma na Majeshi yake!”

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan: Mkutano na Waandishi wa Habari “Makubaliano ya Entebbe, Bwawa la Al-Nahdha, na Kupuuza kwa Watawala Maslahi Muhimu ya Umma”

Hizb ut-Tahrir / Wilayah Sudan ilifanya mkutano na waandishi wa habari mnamo siku ya Jumamosi tarehe 23 Rabi’ al-Akhir 1446 H sawia na 10/26/2024 M katika afisi yake mjini Port Sudan, wenye kichwa: “Mkataba wa Entebbe, Bwawa la Al-Nahdha, na watawala kupuuza maslahi muhimu ya Umma”.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Uholanzi: Matembezi mjini Amsterdam “Miaka 75, na Mwaka Mmoja wa Mauaji ya Halaiki mjini Gaza!”

Hizb ut Tahrir / Uholanzi iliandaa matembezi katika mji mkuu wa Uholanzi, Amsterdam, kwa mnasaba wa kupita mwaka mmoja kamili wa vita vya mauaji ya Halaiki dhidi ya Waislamu wa mji wa Gaza Hashem, kunusuru na kuiombea nusra na Izza Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na Gaza.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Indonesia: Amali kubwa kwa Mnasaba wa Kupita Mwaka Mmoja wa Mauaji ya Halaiki mjini Gaza!

Hizb ut Tahrir / Indonesia iliandaa amali kubwa katika mji mkuu wa Indonesia, Jakarta, na katika mji mkubwa wa pili nchini Indonesia wa Surabaya, ambapo maelfu ya Waislamu walikusanyika na kutaka kuhamasishwa kwa majeshi ya Waislamu ili kuwanusuru Waislamu katika Ardhi Iliyobarikiwa (Palestina) na kuukomboa Msikiti uliobarikiwa wa Al-Aqsa na Palestina yote inayokaliwa kwa mabavu.

Soma zaidi...

Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia: Matembezi ya Ukombozi: “Kwa Khilafah, Majeshi yatasonga kuikomboa Palestina!”

Baada ya swala ya Ijumaa, matembezi ya hamsini na tatu yalifanyika katika mji mkuu, Tunis, mbele ya Msikiti wa Al-Fatah, matembezi makubwa yaliyoitishwa na Hizb ut-Tahrir / Wilayah Tunisia, kwa watu wa Al-Khadra, na yenye kichwa “Kwa Khilafah, Majeshi yatasonga kuikomboa Palestina.”

Soma zaidi...

Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir: Kongamano la Kimataifa “Mwaka Mmoja Umepita Enyi Majeshi!”

Mwaka mmoja umepita tangu Kimbunga cha Gaza, ambacho kimetikisa misingi ya hadhara ya Magharibi na kuponda ponda simulizi ya jeshi lisiloweza kushindwa. Mwaka mmoja wa uchinjaji na mauaji ya halaiki ya watu wa Gaza yametekelezwa na nchi za Magharibi zenye chuki na zingali zinaendelea kutekeleza kwa kulitumia umbile nyakuzi. Mwaka mzima wa kula njama na kufanya biashara ya umwagaji damu ambayo watawala wa Waislamu wamegeuka kuwa waovu, na kuwaongezea fedheha.

Soma zaidi...

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu