Jumatano, 22 Rajab 1446 | 2025/01/22
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

 Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir:

Semina ya Mazungumzo "Vidokezo vya Khilafah Ijayo!"

Katika mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 101 wa Hijria ya kuvunjwa Dola ya Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab Tukufu 1342 H na kwa kuhitimisha amali angazo pana iliyozinduliwa na Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika kipindi chote cha mwezi wa Rajab 1443 H kwa anwani "Angazo la amali za kimataifa za Hizb ut Tahrir katika kumbukumbu ya kuvunjwa kwa Dola ya Khilafah 1443 H - 2022 M" ili kuwaelimisha Waislamu juu ya umuhimu na ufaradhi mkubwa wa kusimamisha na kutabikisha Uislamu kikamilifu chini ya Dola ya Khilafah Rashida, Afisi Kuu ya Habari kupitia Al-Waqia TV iliandaa semina ya mazungumzo kwa kichwa:

"Vidokezo vya Khilafah Ijayo!"

Washiriki walikuwa ndugu waheshimiwa:

Kalima ya Sheikh Nasser Ridha kutoka Sudan:

Umaskini, Bei za Juu na Tiba ya Uislamu yenye Ufanisi

Kalima ya Dkt. Muhammad Al-Malkawi kutoka Jordan:

Mvutano wa Kimataifa na Athari zake kwa Umma

Kalima ya Sheikh Abu Nizar Al-Shami kutoka Tripoli Ash-Sham:

Vijana wa Umma na Sanaa ya Vizazi Duni

Kalima ya Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Mhandisi Salah Eddine Adada kutoka Beirut:

Njia ya Kufikia Khilafah

Jumamosi, 25 Rajab 1443 H - 26 Februari 2022 M

- Tazama Video Kamili ya Amali ya Semina -

- Video Kamili za Kalima za Semina -

[Umaskini, Bei za Juu na Tiba ya Uislamu yenye Ufanisi]

Kalima ya Sheikh Nasser Ridha kutoka Sudan

[Mvutano wa Kimataifa na Athari zake kwa Umma]

Kalima ya Dkt. Muhammad Al-Malkawi kutoka Jordan

[Vijana wa Umma na Sanaa ya Vizazi Duni]

Kalima ya Sheikh Ahmad Al-Sufi (Abu Nizar) kutoka Tripoli Ash-Sham

[Njia ya Kufikia Khilafah]

Kalima ya Mkurugenzi wa Afisi Kuu ya Habari ya Hizb ut Tahrir

Mhandisi Salah Eddine Adada (Abu Muhammad) kutoka Beirut

- Alama Ishara za Kampeni -

#أقيموا_الخلافة

#الخلافة_101

ReturnTheKhilafah#

#YenidenHilafet

#خلافت_کو_قائم_کرو

#TurudisheniKhilafah

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu