Jumatatu, 23 Jumada al-awwal 1446 | 2024/11/25
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahri / Bangladesh:

Kongamano: “Hotuba kwa Umma na Ulinganizi Maalum kwa Maafisa Wanyoofu wa Majeshi!”

Hizb ut Tahrir / Bangladesh yaandaa kongamano kwa kichwa:

“Hotuba kwa Umma na Ulinganizi Maalum kwa Maafisa Wanyoofu wa Majeshi!”

Katika mwaka uliopita, kabla ya uchaguzi wa kitaifa uliopangwa kufanyika tarehe 7 Januari 2024 M, kulikuwa na machafuko ya kisiasa ambayo yalimalizika katika wiki za migomo na mizingiro isiyo ya mfululizo katika kiwango cha nchi ambayo ilivitaka vyama vya upinzaji kudai masharti ya "Uchaguzi huru na wa haki"... Na baada ya miaka 15 kutokana na udhalimu wa serikali ya Hasina, watu wanataka mabadiliko kwa gharama yoyote ile. Na ili kufaidika na hili, wajumbe wa nchi za Magharibi, haswa Marekani, walifanya ziara za mara kwa mara na kuhitimishwa kwa dili na serikali juu ya mali na rasilimali za kimkakati za nchi, kwa msaada wa kimya kutoka kwa Muungano wa Upinzani wa BNP. Kwa kuongezea, kila wakati mjumbe wa kigeni alipozuru, viongozi wa upinzaji walikuwa wakitamani sana kuweka shinikizo kwa serikali ili kufanya "uchaguzi huru na wa haki." Sasa, Muungano wa Kitaifa wa Bangladesh uliwakatisha tamaa kubwa watu na kuwafadhaisha kwa sababu ya harakati zake zilizofeli, na sasa unasusia uchaguzi, ukiacha uchaguzi huo kuwa pekee kwa chama tawala.

Kwa idhini ya Mwenyezi Mungu kongamano letu na hotuba yetu hii itatoa mwelekeo wazi kwa watu.

Basi kuweni pamoja nasi ...

Jumamosi, 24 Jumada Al-Akhir 1445 H sawia na 06 Januari 2024 M

- Wakati na Mahali -

Siku na Tarehe: Jumamosi, 06 Januari 2024 M

Wakati: 16:00 (Majira ya Madina Al-Munawwara)

Ili kufuatilia Bonyeza Hapa

- Matangazo ya Moja kwa Moja -

Kwa Maelezo zaidi Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Bangladesh:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Bangladesh

Andika maoni

Hakikisha umejaza (*) habari zinazohitajika palipoashiriwa. Kodi za HTML haziruhusiwi.

rudi juu

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu